Latest Updates

KIMENUKAA!!! DIAMOND PALTINUMZ AMCHOKOZA TENA KIBA, AMFANYIA KITU MBAYA KWENYE FREE STYLE HII AKIWA LONDON UINGEREZA!!



Diamond Platinumz ambaye kwa sasa yupo ziarani kimuziki Uingereza na Dubai, katika hali ya sintofahamu Diamond alirudia mistari ya kumchana Ali Kiba.

“Akisema watu wasifosi kufanana kati yake na Ali Kiba Hafanani hata kidogo….!