Latest Updates

Kwa kauli hii ya RC MAKONDA,SASA FIESTA MWISHO SAA SITA USIKU




Leo asubuhi RC Paul Makonda akiwa katika studio za Radio E-Efm,aliulizwa swali kuhusu mwisho wa show za wazi,na hivi ndivyo alivyojibu

“Mpaka dakika hii ninavyoongea sheria haijabadilika saa sita ni mwisho, Ukitaka kupiga muziki kuanzia saa sita usiku na kuendelea nenda kwenye ‘Club’ kwaa maana kule kuna ‘Sound Proof’ sauti haiwezi kutoka nje kusumbua watu, Na kama askari wangu wananisikia kupitia E-fm sitaki kusikia muziki unapigwa kwenye majengo ama maeneo ya wazi na bahati nzuri huwa natembea usiku”.-

*Mh. Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam*